Kaa la Moto
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 7,904
- 1,064
Maana viongozi wetu wengi tulio nao leo Tanzania wanapenda sana kujifanya miungu watu. Nani mwadhani atakuwa wa kwanza kujishusha kiasi hiki? Subiri mje muwaone mtaelewa nini nasema!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakuaminia mkuu![]()
Maana viongozi wetu wengi tulio nao leo Tanzania wanapenda sana kujifanya miungu watu. Nani mwadhani atakuwa wa kwanza kujishusha kiasi hiki? Subiri mje muwaone mtaelewa nini nasema!
Ni kweli Dr Slaa anaweza maana iko obvious lakini vipi Kikwete? Anaweza kusimama kwenye msitari namna hii hivi? lazima patazungukwa na walinzi utadhani aliingizwa madarakani kwa nguvu.Nakuaminia mkuu
Hii imekaa vizuri!
Dr. Slaa anaweza
Ni kweli Dr Slaa anaweza maana iko obvious lakini vipi Kikwete? Anaweza kusimama kwenye msitari namna hii hivi? lazima patazungukwa na walinzi utadhani aliingizwa madarakani kwa nguvu.
![]()
Maana viongozi wetu wengi tulio nao leo Tanzania wanapenda sana kujifanya miungu watu. Nani mwadhani atakuwa wa kwanza kujishusha kiasi hiki? Subiri mje muwaone mtaelewa nini nasema!
Mwl Nyerere ni mtu wa viwango vya juu sana lakini nina wasiwasi hiyo mijamaa iliyo nyuma na mbele yake ni mijitu ya UWT inazuga watu enzi hizo watu waliokuwa na uwezo wa kupigakaunda suti walikuwa wachache sana tazama kwa makini utagundua Mwl alikuwa mjanja sana.