Mgombea Huru (Independent Candidate)

Vujole

Member
Joined
Apr 3, 2013
Posts
33
Reaction score
22
Kwa muono wangu; nimefurahia kupatikana fursa ya Wagombea hivyo viongozi wasiotokana na vyama vya siasa. Huu ni wajibu wetu sasa kuweka mwelekeo wa Taifa ili kila mtu atoe mchango wake kufikia malengo ya kitaifa kadiri ya uwezo wake bila ya kulazimika kuwa na chama cha siasa. LETS DRAW THE MAP NOW!!
 
Hili ndilo wengi tulilolitaka na ninaomba watu wasitumie neo mgombea binafsi ni ushamba kulitumia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…