Abraham Lincolnn
JF-Expert Member
- Apr 12, 2018
- 2,754
- 4,975
Kwa Mujibu wa sheria za Uchaguzi ni kosa kubwa kwa Mgombea kuanza kufanya kampeni kabla ya muda maalum uliopangwa na Tume.
Kwa zaidi ya miezi miwili sasa, Bidhaa mbalimbali zenye nembo na chapa ya mgombea huyu zimekuwa zikionekana sehemu mbalimbali, Hii pia inaashiria dalili mbaya ya Rushwa ya Uchaguzi,
Pia TAKUKURU wanapaswa waingilie na kuchukua hatua kali. Ushahidi huu unatosha kabisa kwa TUME kuchukua hatua kwa mujibu wa sheria zilizopo.