Pre GE2025 Mgombea huyu apewe onyo au Kuchukuliwa hatua kali ikibidi afungiwe kushiriki uchaguzi mkuu 2025 kwa kuanza Kampeni kabla ya muda

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwa Mujibu wa sheria za Uchaguzi ni kosa kubwa kwa Mgombea kuanza kufanya kampeni kabla ya muda maalum uliopangwa na Tume.

Kwa zaidi ya miezi miwili sasa, Bidhaa mbalimbali zenye nembo na chapa ya mgombea huyu zimekuwa zikionekana sehemu mbalimbali, Hii pia inaashiria dalili mbaya ya Rushwa ya Uchaguzi,

Pia TAKUKURU wanapaswa waingilie na kuchukua hatua kali. Ushahidi huu unatosha kabisa kwa TUME kuchukua hatua kwa mujibu wa sheria zilizopo.
View attachment 3257915View attachment 3257916View attachment 3257918
CCM haihusiki na hizo sheria zenu za uchaguzi.
 
Ukiona mgombea ameanza kununua watu,kwa kugawa zawadi mara mitungi ya gesi nk, ujue nae keshanunuliwa, yaani anakwenda kufanya biashara ikulu.Huyu ni wa kugopwa kama Ukimwi.
 
Kwa Mujibu wa sheria za Uchaguzi ni kosa kubwa kwa Mgombea kuanza kufanya kampeni kabla ya muda maalum uliopangwa na Tume.

Kwa zaidi ya miezi miwili sasa, Bidhaa mbalimbali zenye nembo na chapa ya mgombea huyu zimekuwa zikionekana sehemu mbalimbali, Hii pia inaashiria dalili mbaya ya Rushwa ya Uchaguzi,

Pia TAKUKURU wanapaswa waingilie na kuchukua hatua kali. Ushahidi huu unatosha kabisa kwa TUME kuchukua hatua kwa mujibu wa sheria zilizopo.
View attachment 3257915View attachment 3257916View attachment 3257918
Wekeza kwenye shughuli za kukuongezea kipato haya ya SSH mitano tena hauwezi Kuyabadilisha unachoweza ni kubadilika wewe
 
Wapi omeandikwa "Mgombea Urais"?
Ameshateuliwa na chama chake(kiuharamia) na ameshateua mgombea mwenza hivyo officially ni mgombea na incumbent president hivyo mitano tena inatafsiri anashawishi umma ambayo literally ni kwamba anafanya kampeni tena kwa ushawishi wa 'vijizawadi'(rushwa) ili achaguliwe aongoze(na chama chake) kwa miaka mingine mitano.
Hiyo ni kampeni 100%.
 
Pia TAKUKURU wanapaswa waingilie na kuchukua hatua kali. Ushahidi huu unatosha kabisa kwa TUME kuchukua hatua kwa mujibu wa sheria zilizopo.
 
Anaforce kupendwa
Kupendwa or no kupendwa it didn’t make any difference before and it won’t make any difference now and then !!

Tatizo sio kuanza kampeni mapema !
Kwani Nape huwa anasemaje ??!! 😳!
Mbona Watu humu wanapenda sana kujisahaulisha mambo ??! 🤣😅
 
Ameshateuliwa na chama chake(kiuharamia) na ameshateua mgombea mwenza hivyo officially ni mgombea na incumbent president hivyo mitano tena inatafsiri anashawishi umma ambayo literally ni kwamba anafanya kampeni tena kwa ushawishi wa 'vijizawadi'(rushwa) ili achaguliwe aongoze(na chama chake) kwa miaka mingine mitano.
Hiyo ni kampeni 100%.
Kwani kwa Sheria za INEC vyama vinatakiwa kuteuwa wagombea udiwani, Ubunge na Urais kuanzia muda gani kabla ya uchaguzi?
 
Nitajua yupo serious na campaign nikiona condom, toilet paper na sanitary pads zenye sura yake.
 
Back
Top Bottom