Abraham Lincolnn
JF-Expert Member
- Apr 12, 2018
- 2,754
- 4,975
Sahihi kabisa 100%Ukiona mgombea ameanza kununua watu,kwa kugawa zawadi mara mitungi ya gesi nk, ujue nae keshanunuliwa, yaani anakwenda kufanya biashara ikulu.Huyu ni wa kugopwa kama Ukimwi.
“Locuta causa finita” !Kwa Mujibu wa sheria za Uchaguzi ni kosa kubwa kwa Mgombea kuanza kufanya kampeni kabla ya muda maalum uliopangwa na Tume.
Kwa zaidi ya miezi miwili sasa, Bidhaa mbalimbali zenye nembo na chapa ya mgombea huyu zimekuwa zikionekana sehemu mbalimbali, Hii pia inaashiria dalili mbaya ya Rushwa ya Uchaguzi,
Pia TAKUKURU wanapaswa waingilie na kuchukua hatua kali. Ushahidi huu unatosha kabisa kwa TUME kuchukua hatua kwa mujibu wa sheria zilizopo.
View attachment 3257915View attachment 3257916View attachment 3257918
HahahaMgombea huyu asipewe onyo au Kuchukuliwa hatua kali ,wananchi wachague mgombea yeyote wa upinzani.
Wapi omeandikwa "Mgombea Urais"?Kwa Mujibu wa sheria za Uchaguzi ni kosa kubwa kwa Mgombea kuanza kufanya kampeni kabla ya muda maalum uliopangwa na Tume.
Kwa zaidi ya miezi miwili sasa, Bidhaa mbalimbali zenye nembo na chapa ya mgombea huyu zimekuwa zikionekana sehemu mbalimbali, Hii pia inaashiria dalili mbaya ya Rushwa ya Uchaguzi,
Pia TAKUKURU wanapaswa waingilie na kuchukua hatua kali. Ushahidi huu unatosha kabisa kwa TUME kuchukua hatua kwa mujibu wa sheria zilizopo.
View attachment 3257915View attachment 3257916View attachment 3257918
Kwa Mujibu wa sheria za Uchaguzi ni kosa kubwa kwa Mgombea kuanza kufanya kampeni kabla ya muda maalum uliopangwa na Tume.

Ukisusa watapita ukishiriki watapita hao hao. Kazi kweli kweli.Mbwa hawezi kuuma mkia wake. Halafu kuna mbweha wanataka wapinzani washiriki chaguzi hizi za kiini macho.
Tatizo hata ukichagua mpinzani tume ya uchaguzi itamtangaza yeye kuwa ndiyo mshindiMgombea huyu asipewe onyo au Kuchukuliwa hatua kali ,wananchi wachague mgombea yeyote wa upinzani.
Hakuna lenye mwanzo lisilo na mwisho!Tatizo hata ukichagua mpinzani tume ya uchaguzi itamtangaza yeye kuwa ndiyo mshindi
Hata ndoa yake alifanya hivyo hivyo!Anaforce kupendwa