LGE2024 Mgombea Mtaa wa Mshikamano, Mbezi Louis: Tutatumia njia yoyote dola ya Mtaa ibaki CCM

LGE2024 Mgombea Mtaa wa Mshikamano, Mbezi Louis: Tutatumia njia yoyote dola ya Mtaa ibaki CCM

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

The Sheriff

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2019
Posts
747
Reaction score
2,112
Huyu ni Mgombea wa nafasi katika Serikali ya Mtaa Mshikamano, huko Mbezi Louis, jijini Dar. Anaitwa Masoud “Lupenga” Mbaruku.

Kwenye moja ya kampeni zake ameahidi kuwa watafanya vyovyote vile kuhakikisha dola ya Mtaa wa Mshikamano inabaki kwenye chama chake cha CCM.

 
Tatizo nini au huelewi

USSR
 
Back
Top Bottom