Mgombea mteule wa CCM akutana na kiongozi wa upinzani. Raila Odinga

Mgombea mteule wa CCM akutana na kiongozi wa upinzani. Raila Odinga

huyu mzee makufuli aonekana mtulivu design ya kibongo.he should stop hanging out with perennial losers like rao ama atapoteza.
 
Ni kama anamnong'oneza "nikipata kijiti ntakupiga Tafu hukoo Machakoz umtimulie mbali Uhuru, na Hii Mwai kibaki road ntaigeuza iwe raila odinga road,," HAPOJE...!
 
Hii imekaa poa, sasa Bongo itaamuka. Ni Watanzania wachache tena hapa JF tu ambao huwa na matatizo ya kiaina na kuwa na wivu dhidi ya Kenya, lakini wengi huko nje wapo sawa.
Hoyee Magufuli....

Unamsifia Magufuli kukutana na Baaba hapo atakuwa kamletea mahirizi tu
 
Back
Top Bottom