Ni kama anamnong'oneza "nikipata kijiti ntakupiga Tafu hukoo Machakoz umtimulie mbali Uhuru, na Hii Mwai kibaki road ntaigeuza iwe raila odinga road,," HAPOJE...!
Hii imekaa poa, sasa Bongo itaamuka. Ni Watanzania wachache tena hapa JF tu ambao huwa na matatizo ya kiaina na kuwa na wivu dhidi ya Kenya, lakini wengi huko nje wapo sawa.
Hoyee Magufuli....