Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
No.1 uko sahihi, wanufaika hao ni;Watakaoipigia kura CCM.
1. Wanaonufaika na uwepo wake madarakani.
2. Wajinga + wapumbavu.
Watakaopigia kura wapinzani Ni.
1. WanaCCM walioumizwa na serikali ya Magufuli mf: vyeti feki, kikokotoo.
2. Werevu wote.
1.Makonda
2.Angela Kairuki
3.Jesca