Pre GE2025 Mgombea Mwenza wa Urais CCM, Dkt Emmanuel Nchimbi hana Ushawishi wowote ndani na Nje ya CCM, ni Mzigo mzito kumnadi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwa sasa CCM tunajipanga kwa upinzani mkali kutoka UPDP ya Fahmi Dovutwa kwasababu CHADEMA hii ya sasa ni takataka haina upinzani wowote. CHADEMA iliyokosa nidhamu mnatukanana hadharani.
 
Sasa Sheikh wanaCCM wao wamemchagua, wewe Chadema unasema mzigo.

Lakini si ndio vizuri ili ninyi wa kwenu mumnadi vizuri, au wewe ni CCM kutoka moyoni ila kwa nje ni Chadema?
Huyu ni mwanaCCM mwenzetu aliyeko CHADEMA kwa kazi maalum. Hata Mbowe ni CCM
 
CHADEMA inayovurugwa na diaspora?
 
Unasema hana ushawishi wowote lakini ni balozi. Vipi je kuhusu mahusiano yake na nchi rafiki na Tanzania?. Kuna mgombea wa CHADEMA yoyote mwenye mahusiano kama yake?
 
 
Nadhani watu mmeanza kufuatilia siasa za chama cha mapinduzi juzi!! Ushawishi wa Dr Nchimbi ndani ya ccm ni mkubwa sana!!kama sijakosea ameshawahi kuwa katibu mkuu wa umoja wa vijana tena kwa mafanikio makubwa sana!!jamaa anakijua chama vilivyo
 
Hata jiwe au unknown yoyote akisimamishwa na CCM bado nchi itachukuliwa na mtu huyo..., The only way CCM itatoka madarakani ni kwa CCM kuvunjika vipande vipande; Case in Point hata KANU isingevunjika kwa makosa ya MOI mpaka leo pale Kenya kungekuwa na Nyimbo za KANU Yajenga Nchi...
 
mtaisoma namba 🤣
 
Hahahahaaa, Dua la kuku. Ukweli ni kuwa mefirimbwa vibayaaaaa!!
 
Dr Nchimbi ni mtu aliyekuwa amejiandaa yeye binafsi hata kabla hajaandaliwa na mfumo kuja kuwa kiongozi wa juu wa taifa hili. He deserve more than what he has on hand
 
Inaonekana humjui Nchimbi. Uliyemuelezea sio Nchimbi ni mtu mwingine. Nchimbi naemjua ni smart sana.
 
Mwenyekiti
Nadhani watu mmeanza kufuatilia siasa za chama cha mapinduzi juzi!! Ushawishi wa Dr Nchimbi ndani ya ccm ni mkubwa sana!!kama sijakosea ameshawahi kuwa katibu mkuu wa umoja wa vijana tena kwa mafanikio makubwa sana!!jamaa anakijua chama
 
Nadhani watu mmeanza kufuatilia siasa za chama cha mapinduzi juzi!! Ushawishi wa Dr Nchimbi ndani ya ccm ni mkubwa sana!!kama sijakosea ameshawahi kuwa katibu mkuu wa umoja wa vijana tena kwa mafanikio makubwa sana!!jamaa anakijua chama vilivyo
Alishiriki kuua mradi wa mabasi ya wanafunzi akiwa UVCCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…