Pre GE2025 Mgombea Mwenza wa Urais CCM, Dkt Emmanuel Nchimbi hana Ushawishi wowote ndani na Nje ya CCM, ni Mzigo mzito kumnadi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Bado sielewi Vigezo ambavyo vimetumika Kumfanya Emmanuel Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza wa Urais wa CCM.

Nchimbi hana na wala hajawahi kuwa na Ushawishi wowote kwenye siasa za ndani na hata kwenye Majukwaa ya hadharani, Hata alipofukuzwa na Magufuli ndani ya ccm kwa kuwa Team Lowassa hakuna aliyemsikitikia, Afadhali hata Sophia Simba wanaccm walimpigania, hii maana yake ni kwamba, Sophia Simba alimzidi mno kwa Umaarufu Nchimbi.

Mtu wa aina hii kumpeleka kwenye majukwaa ya kuomba kura ni sawa na kujibebesha Gunia la Misumali, Hata huu Mkutano wa Mkuu wa CCM ambao umeratibiwa naye kama Katibu Mkuu wa Chama, ndio mkutano mkuu wa ccm uliododa zaidi kuliko mikutano mikuu yote tangu kuanzishwa kwa chama hicho.
Soma Pia: Breaking News: - Uchaguzi 2025 - CCM yamchagua Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza katika Uchaguzi wa Oktoba 2025

Naitabiria CHADEMA kampeni nyepesi zaidi kuliko Uchaguzi wowote tangu kurejeshwa kwa mfumo wa vyama vingi Nchini Tanzania, kazi ni kwenu Chadema, labda itumike tu mbeleko ya dola, lakini Je dola itakubali kutumika kubeba maji kwenye Tenda? Pipa litajaa?
Pambana na kwako kunako waka moto.
 
Pambana na kwako kunako waka moto.
Watu wametangaza Uchaguzi, fomu zikatolewa , Wagombea wakajitokeza, kila mmoja kafanya kampeni kwa uhuru kabisa, Hapo ni moto upi unaowaka?

Sasa angalia ccm, Wajumbe wametapeliwa kwamba anatangazwa Makamu Mwenyekiti, kumbe kuna aliyepanga kuwa Mgombea pekee wa Urais, hata ile fomu 1 wala hakuchukua,hii ni mpya mno!
 
Nchimbi ndio angegombea urais na Hangaya ushushe awe makamu
Unpopular opinion: Nchimbi anamzidi vitu vingi sana Samia katika siasa kuanzia ndani ya chama mpaka nje.

Ukiwekwa uchaguzi ndani ya chama kati ya Samia na Nchimbi, Nchimbi anashinda asubuhi tu.

Samia amechagua makamu wa Rais anayemzidi nguvu ya kisiasa sorry to say this.

Ni hatari kwa siasa za nchi ya giza.
 
Sababu kubwa inayofanya nisimwamini Nchimbi ni kwa vile aliwahi kununua digrii; credibility yake ni ziro kabisa. Hakuna anachotetea zaidi ya maslahi yake binafsi tu. Ni tabia ya Msoga team.
 
Bado sielewi Vigezo ambavyo vimetumika Kumfanya Emmanuel Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza wa Urais wa CCM.

Nchimbi hana na wala hajawahi kuwa na Ushawishi wowote kwenye siasa za ndani na hata kwenye Majukwaa ya hadharani, Hata alipofukuzwa na Magufuli ndani ya ccm kwa kuwa Team Lowassa hakuna aliyemsikitikia, Afadhali hata Sophia Simba wanaccm walimpigania, hii maana yake ni kwamba, Sophia Simba alimzidi mno kwa Umaarufu Nchimbi.

Mtu wa aina hii kumpeleka kwenye majukwaa ya kuomba kura ni sawa na kujibebesha Gunia la Misumali, Hata huu Mkutano wa Mkuu wa CCM ambao umeratibiwa naye kama Katibu Mkuu wa Chama, ndio mkutano mkuu wa ccm uliododa zaidi kuliko mikutano mikuu yote tangu kuanzishwa kwa chama hicho.
Soma Pia: Breaking News: - Uchaguzi 2025 - CCM yamchagua Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza katika Uchaguzi wa Oktoba 2025

Naitabiria CHADEMA kampeni nyepesi zaidi kuliko Uchaguzi wowote tangu kurejeshwa kwa mfumo wa vyama vingi Nchini Tanzania, kazi ni kwenu Chadema, labda itumike tu mbeleko ya dola, lakini Je dola itakubali kutumika kubeba maji kwa kutumia Tenga? Je Pipa litajaa?
Baada ya uchaguzi usilalamike kuwa mmeibiwa kura.
 
Sasa Hangaya naye ana ushawishi gani?
Ushawishi wa Samia ni kazi zake haihitaji maneno yaani akifika huko kwenu mtaulizwa Rais amefanya au hajafanya? Jibu ni ndiooo,mpenzi kura kazi Iendelee.

That is the most important,makelele ya kijinga etikatiba Mpya Kwa mtu kama Mimi inaweza kuwa ushawishi kweli? Wanavijiji Wana shid huko za msingi ukawaambie Katiba Mpya?
 
Unpopular opinion: Nchimbi anamzidi vitu vingi sana Samia katika siasa kuanzia ndani ya chama mpaka nje.

Ukiwekwa uchaguzi ndani ya chama kati ya Samia na Nchimbi, Nchimbi anashinda asubuhi tu.

Samia amechagua makamu wa Rais anayemzidi nguvu ya kisiasa sorry to say this.

Ni hatari kwa siasa za nchi ya giza.
Nchimbi anajua mipaka pia Samia anaenda Ngwe ya mwisho.

Tofauti na kwamba hajawahi fikiria kumpa nafasi ya Urais Mzanzibar na ndicho kinawatesa hakuna Cha ushawishi Wala blaa blaa zingine.

Kama tunachagua na kuweka watu kwenye mizani,Kuna Rais gani anaweza mzidi Samia Kwa utekelezaji wa ilani?
 
Bado sielewi Vigezo ambavyo vimetumika Kumfanya Emmanuel Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza wa Urais wa CCM.

Nchimbi hana na wala hajawahi kuwa na Ushawishi wowote kwenye siasa za ndani na hata kwenye Majukwaa ya hadharani, Hata alipofukuzwa na Magufuli ndani ya ccm kwa kuwa Team Lowassa hakuna aliyemsikitikia, Afadhali hata Sophia Simba wanaccm walimpigania, hii maana yake ni kwamba, Sophia Simba alimzidi mno kwa Umaarufu Nchimbi.

Mtu wa aina hii kumpeleka kwenye majukwaa ya kuomba kura ni sawa na kujibebesha Gunia la Misumali, Hata huu Mkutano wa Mkuu wa CCM ambao umeratibiwa naye kama Katibu Mkuu wa Chama, ndio mkutano mkuu wa ccm uliododa zaidi kuliko mikutano mikuu yote tangu kuanzishwa kwa chama hicho.
Soma Pia: Breaking News: - Uchaguzi 2025 - CCM yamchagua Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza katika Uchaguzi wa Oktoba 2025

Naitabiria CHADEMA kampeni nyepesi zaidi kuliko Uchaguzi wowote tangu kurejeshwa kwa mfumo wa vyama vingi Nchini Tanzania, kazi ni kwenu Chadema, labda itumike tu mbeleko ya dola, lakini Je dola itakubali kutumika kubeba maji kwa kutumia Tenga? Je Pipa litajaa?
Kwa Sasa machadomo yanalilia kuhusu uchaguzi wao,hapo ni ushawishi wa nani? 😆😆
 
Mmeshamaliza kuvuana nguo na kuchomekana vidole huko SACCOS?
 
mgombea wa makamu rais huwa ananadiwa wapi? je wewe unakijua chama cha mapinduzi vizuri?
 
Goli halina KIPA ni kujipigia tu hawa kipindi cha kwanza 7 bila!!!!
Mtu anayefikiri eti rais na mwenyekiti wa ccm aliyepo madarakati ni ukosefu wa heshima kutompitisha kugombea kwa mara ya pili. Itiifu wa kijinga, uchawa ndio mtizamo wake. Hafai kabisa🤣😂
 
Naitabiria CHADEMA kampeni nyepesi zaidi kuliko Uchaguzi wowote tangu kurejeshwa kwa mfumo wa vyama vingi Nchini Tanzania,
Pending uchaguzi wa Mwenyekiti wa CHADEMA na kitakachofuata baada ya kundi flani kushindwa (fairly au kwa figisu)
 
..Samia hana uwezo na hana mvuto.

..Nchimbi hana uwezo na hana mvuto.
Hao wasio na mvuto na uwezo ni marais wa leo na yule ajae.

Hao wenye uwezo na mvuto wapo wapi? wanakubali vipi kuiacha nchi ikaongozwa na viongozi wasiostahili?.
 
Sasa Hangaya naye ana ushawishi gani?
hapo mtachemka sana tu kaandaeni chama kwa uchaguzi wa 2050 siyo sasa nchimbi unamjuwa au unamsikia tu huyo jamaa ni balaa lingine na hapo alipowekwa ndiyo atatumia misuli yake yote mpaka maji mtaita mma
 
Acha kuabudu watu! Nchimbi hana mvuto licha ya sifa unazompa hapa!
 
Back
Top Bottom