Ni vizuri tusikie pia interviews na za wagombea wengine wote, itapendeza sana interviews zirushwe laivu maana tff ni taasisi ya umma na muda wa zengwe na kupanga safu ya wezi umeisha tunataka viongozi wapya wasio na magumashi na wasio na vipara maana ukiwa na kipara akili huwezi kuwa nayo. Tunataka mgombea aliecheza mpira hiyo kanuni ya endorsement BMT waifute.
Ligi ya mwaka huu ilioza kabisa kila Simba ikicheza kila mtu anajua matokeo marefa waliibeba bila aibu mbele ya camera, Simba imezishusha daraja timu nyingi kwa upendeleo wa marefa wa tff, shame on tff mmeharibu kabisa bizness za watu na pesa za wadhamini kwa ligi kukosa ladha na mvuto, mara bila kutumia akili mkaahirisha mechi ya derby na kusababisha hasara kubwa na kuna maelfu ya watu waliolipa tickets hawakuja uwanjani tarehe 25, mliwaibia pesa zao wezi wakubwa nyie tff. Hatuwaki viongozi wa Sasa mtoke imetosha uharibifu wa mpira wa bongo.