GE2025 Mgombea ubunge ACT: Nitakwenda kuwa chawa wa wananchi wa Simanjiro

GE2025 Mgombea ubunge ACT: Nitakwenda kuwa chawa wa wananchi wa Simanjiro

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Mgombea wa nafasi ya Ubunge Jimbo la Simanjiro kupitia ACT-Wazalendo Ndg.Olekai Letion Laizer amesema kuwa ikiwa atachaguliwa kuwa mbunge wa Simanjiro atakwenda kutetea maslahi ya wananchi wa Simanjiro.

Letion ameyasema hayo akiwa katika Kata ya Komolo wilayani Simanjiro wakati akizindua kampeni zake.

 
Back
Top Bottom