Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mgombea wa nafasi ya Ubunge Jimbo la Simanjiro kupitia ACT-Wazalendo Ndg.Olekai Letion Laizer amesema kuwa ikiwa atachaguliwa kuwa mbunge wa Simanjiro atakwenda kutetea maslahi ya wananchi wa Simanjiro.
Letion ameyasema hayo akiwa katika Kata ya Komolo wilayani Simanjiro wakati akizindua kampeni zake.