GE2025 Mgombea Ubunge CCM Serengeti Aomba Rais Ajenge Uwanja wa Ndege na Barabara za Lami

GE2025 Mgombea Ubunge CCM Serengeti Aomba Rais Ajenge Uwanja wa Ndege na Barabara za Lami

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Mgombea Ubunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Serengeti, Mary Daniel Joseph, amemuomba Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Mohamed Ali Kawaida, kufikisha kilio cha wananchi kwa Rais kuhusu ujenzi wa uwanja wa ndege na barabara za kiwango cha lami ili kuchochea maendeleo ya wilaya hiyo.
“Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, sisi wana Serengeti tunaomba uwanja wa ndege. Uwanja huo upo katika Ilani yetu ya CCM 2025/2030 na tunaamini kwa ushirikiano wako na sisi tutaweza kukamilisha hili,” amesema.

Ameongeza kuwa: “Barabara ambazo sisi wana CCM tunazitaka na tunaamini zitaenda kufungua uchumi wa wilaya yetu ya Serengeti ni barabara ya Mugumu kwenda Bunda, pamoja na ya kutoka Mugumu kwenda Tarime.”

 
Serengeti -Musoma???
Serengeti-Arusha??
Nimemshangaa sijui ameogopa nini na hizo ndio muhimu kuliko ya Serengeti to Tarime.

Sielewi kwanini barabara ya Arusha serengeti hata kwa kupitia Loliondo haiwekwi lami!!
 
Back
Top Bottom