Mpui Lyazumbi
JF-Expert Member
- Sep 1, 2010
- 1,901
- 410
Kagongwa na pikipiki?then gari yake imeharibika vibaya?du kaanza kupewa adhabu kutokana na usaliti kwa upinzani.ok mpe pole.
ahaaa...................kwahiyo pikipiki imetoka salama?kura kapiga lakin?
Mgombea ubunge jimbo la igunga kupitia CUF amepata ajali. Kwa mjibu wa matangazo ya tbc taifa, bw mahona kapata ajali wakati anaelekea kupiga kura mara baada ya gari lao kugongwa na pikipiki. Kwa maelezo yake mwenyewe kupitia tbc taifa, gari lao limeharibika vibaya na wao wanaendelea vizuri.
Dah! Kidogo nishangilie nikidhan ni kasindie.
He should have been called by this name now RIP.