Amani Nyekele
Senior Member
- Jul 8, 2011
- 159
- 26
Dah! Kidogo nishangilie nikidhan ni kasindie.
Kwa nini??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah! Kidogo nishangilie nikidhan ni kasindie.
Kwa hiyo Kashindye hana roho au nafsi? Acha chuki isiyo na tija katika maisha yako. Pole Mahona kama hujapata marejuhi nenda kapige kura yako kisha kapumzike usubiri matokeo ambayo kiukweli yapo mikononi mwa NEC ambao wanamamlaka ya kumtangaza mshindi wamtakaye.Dah! Kidogo nishangilie nikidhan ni kasindie.
Mgombea ubunge jimbo la igunga kupitia CUF amepata ajali. Kwa mjibu wa matangazo ya tbc taifa, bw mahona kapata ajali wakati anaelekea kupiga kura mara baada ya gari lao kugongwa na pikipiki. Kwa maelezo yake mwenyewe kupitia tbc taifa, gari lao limeharibika vibaya na wao wanaendelea vizuri.
UPDATES:- Haya ndo maneno yake " Cha ajabu pikipiki ni nzima na mwendesha pikipiki mwenyewe ni mzima, na tulikuwa wanne kwenye gari wote tumetoka wazima. Naelekea nyumbani kupiga kura, na nitapiga kura eneo la simbo -nyumbani. Baada ya saa 24 nategemea kuwa mbunge mpya wa igunga".

malipo ya dhambi ni hapa hapa duniani!

Tuwe makini. Kampeni zimesitishwa na hiyo ilikua ni mbinu ya kumfanyia kampeni mgombea wa CUF agawe kura za Chadema na TBC wamehusishwa. Angepata ajali jana ama baada ya kufungwa kwa vituo. Sasa amepata publicity ya bure ndio maana katoa maneno hayo.
Sio utani ni kweli, piki piki iko vizuri afu gari lake limeharibika vibaya..Pikipiki yagonga gari na gari limeharibika vibaya....utani au?