Elections 2010 Mgombea Ubunge jimbo la Igunga kwa tiketi ya CUF apata ajali!

Inaonekana bado anasumbuliwa na hasira za jana baada ya kupigana na polisi na wanakijiji.
 
Dah! Kidogo nishangilie nikidhan ni kasindie.
Kwa hiyo Kashindye hana roho au nafsi? Acha chuki isiyo na tija katika maisha yako. Pole Mahona kama hujapata marejuhi nenda kapige kura yako kisha kapumzike usubiri matokeo ambayo kiukweli yapo mikononi mwa NEC ambao wanamamlaka ya kumtangaza mshindi wamtakaye.
 
piki piki imegonga gari....!!!!
 

Tuwe makini. Kampeni zimesitishwa na hiyo ilikua ni mbinu ya kumfanyia kampeni mgombea wa CUF agawe kura za Chadema na TBC wamehusishwa. Angepata ajali jana ama baada ya kufungwa kwa vituo. Sasa amepata publicity ya bure ndio maana katoa maneno hayo.
 
hivi wale jamaa wanaojipambanua kwa midevu walisoma ile duwa yao dhidi ya chadema? nilitahadharisha humu kuwa hawajui adui yao kuwa yupo miongoni mwao!!! pole mahona, pona haraka matokeo yakitangazwa utakapokuta umegaragazwa utajutia usaliti wako kwa nchi yako.
 

Huo uchawi sasa..gari lagongwa na pikipiki na kuharibika wakati pikipiki ipo poa...lol!!!
 
Ni ajali kama ajali zingine. Ni vema kwamba kapona. Lakini habari za ushindi ibaki ni ndoto kwake. Yeye ni mshiriki kama washiriki wengine!
 
ajafa tu ccm wakimbilie kuairisha leo hatawafe wote tutangaza mshindi wa halali
else nahisi kaharufu cha misri kuelekea kaanani kananukia wakichakachua
 

Mhh.hiyo piki piki ni kubwa sana eh haha.
Au ndo kura za mchana mchana za huruma anatafuta
 
Tuichukulie kama ajali ya kawaida tu! haina mahusiano na siku ya leo ! Pengine tumpe pole na tumtakie upigaji kura mwema!
 
Hakuna ajali hapo, alikuwa anatafuta publicity, ni kampeni nayo kwa style yake alitaka kuliamsha jina lake akilini mwa wapiga kura tu
 
Tuwe makini. Kampeni zimesitishwa na hiyo ilikua ni mbinu ya kumfanyia kampeni mgombea wa CUF agawe kura za Chadema na TBC wamehusishwa. Angepata ajali jana ama baada ya kufungwa kwa vituo. Sasa amepata publicity ya bure ndio maana katoa maneno hayo.

Nakubaliana kabisa na wewe mkuu, hii ni kampeni anafanya siku ya uchaguzi.

Katika hali ya kawaida kama pikipiki inagonga gari na gari ndiyo inaharibika basi hiyo gari itakuwa ya makaratasi!

Tbc wamekuwa against chadema muda wote na bila shaka hata hii habari ya mahona ni mwendelezo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…