Uchaguzi 2020 Mgombea Ubunge jimbo la Kibamba kupitia ACT-Wazalendo ajieungua

Uchaguzi 2020 Mgombea Ubunge jimbo la Kibamba kupitia ACT-Wazalendo ajieungua

Mocumentary

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2017
Posts
806
Reaction score
2,049
Mgombea Ubunge jimbo la Kibamba kupitia ACT-Wazalendo, bwana Mwesigwa Zaidi amejiengua, kutogombea ubunge kwenye jimbo la Kibamba kwa kile alichoeleza ni ushauri wa madaktari wake ya kwamba anahitaji muda wa kutosh wa kupumzika kutokana na udhaifu wa afya yake.
 
Hivyo status ya wagombea jimbo hilo ikoje? Wamebaki wangapi kutoka vyama gani?.
 
Naona wamebadili mbinu!!
Wapinzani bongo miyeyusho tuu, ukiangalia hata baadhi ya makosa yaliyojitokeza kwenye ujazaji wa fomu za uteuzi ni ya kukusudiwa sio bahati mbaya, mtu kasahau picha, mwingine hajajaza anagombea kwa tiketi ya chama gani n.k
 
Hakuna kitu kinatokea kwa bahati mbaya kwa hizi hila za watawala kuharibu uchaguzi mkuu. Kila kitu kimepangwa.
 
Wapinzani bongo miyeyusho tuu, ukiangalia hata baadhi ya makosa yaliyojitokeza kwenye ujazaji wa fomu za uteuzi ni ya kukusudiwa sio bahati mbaya, mtu kasahau picha, mwingine hajajaza anagombea kwa tiketi ya chama gani n.k
Toka hapa na wewe, ina maana na baba yenu alikuwa amefanya makusudi kutokuweka picha kwenye fomu zake? Mbona NEC wamekataa pinganizi hilo?
 
Toka hapa na wewe, ina maana na baba yenu alikuwa amefanya makusudi kutokuweka picha kwenye fomu zake? Mbona NEC wamekataa pinganizi hilo?
Umeona mzee hakuweka picha? Fanya tafiti hacha kumezeshwa, kasome hata pingamizi la lisu lilisema nini.
 
Kweli Daktari wake amemshauri vizuri ili apone kabisa
 
Halafu Huyo mgombea alikuwa mwanajeshi kambi mojawapo Dar kama sikosei.
 
Sarakasi zimeshaanza baada ya ufunguzi was kampeni njaa mbaya sana
 
Back
Top Bottom