Uchaguzi 2020 Mgombea Ubunge jimbo la Kibamba kupitia ACT-Wazalendo ajieungua

Uchaguzi 2020 Mgombea Ubunge jimbo la Kibamba kupitia ACT-Wazalendo ajieungua

Mziki wa Magufuli sio mchezo wazee. Watu washaanza kukimbia wenyewe. Na bado.
 
Halafu baada ya muda anakuja Zitto anasema wagombea wetu wanaenguliwa kumbe vyama vya upinzani havina wagombea committed
Mgombea ubunge jimbo la Kibamba kupitia ACT wazalendo, bwana Mwesigwa Zaidi amejiengua, kutogombea ubunge kwenye jimbo la Kibamba kwa kile alichoeleza ni ushauri wa madaktari wake ya kwamba anahitaji muda wa kutosh wa kupumzika kutokana na udhaifu wa afya yake.
 
Chadema wapo kumi,ambao muda wowote watajiengua kwa sababu maalum tofauti tofauti.
 
31 Agosti 2020

MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA KIBAMBA DAR ES SALAAM KWA TIKETI YA ACT WAZALENDO ADAI KUSHAMBULIWA, OCD WILAYA YA UBUNGO AFUNGUKA

 
Safi Sana , Sasa Ni muda wa wanacha wa Act kuiunga mkono chadema
Kwani makaratasi ya kura si tayari yashaprintiwa na majina? Au bado.
Au ni kua tume ikikupitisha lazima kwenye paper ya kupigiwa kura uwepo. Na hapa kura ndio hua hugawanyika
Am not sure though
 
Njaa zingine zinakera sana. Mwanaume suruali huyu.
 
Back
Top Bottom