Mocumentary
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 806
- 2,049
Wapinzani bongo miyeyusho tuu, ukiangalia hata baadhi ya makosa yaliyojitokeza kwenye ujazaji wa fomu za uteuzi ni ya kukusudiwa sio bahati mbaya, mtu kasahau picha, mwingine hajajaza anagombea kwa tiketi ya chama gani n.kNaona wamebadili mbinu!!
Toka hapa na wewe, ina maana na baba yenu alikuwa amefanya makusudi kutokuweka picha kwenye fomu zake? Mbona NEC wamekataa pinganizi hilo?Wapinzani bongo miyeyusho tuu, ukiangalia hata baadhi ya makosa yaliyojitokeza kwenye ujazaji wa fomu za uteuzi ni ya kukusudiwa sio bahati mbaya, mtu kasahau picha, mwingine hajajaza anagombea kwa tiketi ya chama gani n.k
Umeona mzee hakuweka picha? Fanya tafiti hacha kumezeshwa, kasome hata pingamizi la lisu lilisema nini.Toka hapa na wewe, ina maana na baba yenu alikuwa amefanya makusudi kutokuweka picha kwenye fomu zake? Mbona NEC wamekataa pinganizi hilo?
Ndiyo tulikesha Chamwino tunarekebisha utopolo wa mzee!Umeona mzee hakuweka picha? Fanya tafiti hacha kumezeshwa, kasome hata pingamizi la lisu lilisema nini.
Subiri October. Tutaona nani utopoloNdiyo tulikesha Chamwino tunarekebisha utopolo wa mzee!