Mgombea ubunge jimbo la Kibamba kupitia ACT wazalendo, bwana Mwesigwa Zaidi amejiengua, kutogombea ubunge kwenye jimbo la Kibamba kwa kile alichoeleza ni ushauri wa madaktari wake ya kwamba anahitaji muda wa kutosh wa kupumzika kutokana na udhaifu wa afya yake.