Phoenix
JF-Expert Member
- Sep 6, 2012
- 10,585
- 15,468
Wanamuuzia nani??TAKUKURU WAMEKUFA???Mkuu wagombea Chadema wanauza Fomu mchana kweupe bila haya ukiwalipa wanasema wameporwa na wasiojulikana . Chadema sijui wafanyaje kuwadhibiti hao wauza Fomu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanamuuzia nani??TAKUKURU WAMEKUFA???Mkuu wagombea Chadema wanauza Fomu mchana kweupe bila haya ukiwalipa wanasema wameporwa na wasiojulikana . Chadema sijui wafanyaje kuwadhibiti hao wauza Fomu
mwanaume unatekwa vipi unakubali kwanini wasiende kuwasimulia wanaowatuma.Majinga kabisa nyie.Na nyie tafuteni CCM hao watekeni,wapopoeni n.k
iyo kila unachosikia unaamini kirahisi tu.mbona wanakatwa hadi mapanga ujauona yule wa temeke,
polisi inaouwezo wa kuzuia haya,kukkaaa kimya ni kuyabariki,
ujayasikia ya tunduma mgombea kubambikwa kesi ya ujambazi au haupo tza
kwann yawe ni ya kujirudia rudia tena kwa upande mmoja why ccm wao awatekwiS
iyo kila unachosikia unaamini kirahisi tu.
Lazima ujipe muda wa uchunguzi na kuhakiki ukweli wa habari husika.
Swali zuri, kwanini wa vyama vingine tofauti na CHADEMA hawatekwi kama wa CHADEMA?kwann yawe ni ya kujirudia rudia tena kwa upande mmoja why ccm wao awatekwi
Mimi in chadema lakin chadema na nyinyi mmekuwa wapumbavu na mikakati mibovu kwanini arudishe form pekeyake wakati lissu alisema wakati wa kuchukua na kurudisha form mgombea asindikizwe sasa kama angekuwa na wenzake hao wahuni wangemnyang'anyaje form huo ni upuuzi kwa upande was chadema hapo mmefanya hovyo to the highest orderMgombea Ubunge jimbo la Mufundi kwa tiketi ya CHADEMA, Titho Emmanuel Kitalika ametekwa na watu wasiojulikana wakati akiwa njiani kwa ajili kurudisha fomu ya kugombea ubunge jimbo hilo. Amepigiwa simu akasikika akipiga kelele akilalamika wananiteka.
Ametekwaje wakati waliambiwa ni marufukukurudisha form ukiwa pekeako au mkiwa wachache? Isije kua kuna wagombea wachache wamepewa hela na kukihujumu chama.
Mbona hamfanyi maombi kuhusu Ukimwi?CHADEMA naona mnaufanyia kazi huu mpango wa kibeberu kuichafua nchi ili mkishindwa jamaa wainilie kati?
Ninyi watu si wema kabsa kwa familia zetu.
Mnachokitaka kikitokea hakitachagua wana-CCM pekee na familia zao. Tusiokuwa na kwa kukimbilia tutabaki kuitetea nchi huku tukiomba Mungu kama ilivyokuwa kwenye janga la COVID-19.