Uchaguzi 2020 Mgombea ubunge jimbo la Mvomero kupitia CHADEMA ndugu Peter Mdidi ametekwa na watu wasiojulikana na kupelekwa kusikojulikana

Muwe mnaweka na ushahidi namna alivyotekwa! Kama siyo maelekezo kutoka kwa Amsterdam kuwa mtengeneze matukio, basi, muandike kuwa "Ndugu Peter hajulikani alipo" !
 
Bado tu kuna mtu anaamini ni ccm ndio wanafanya haya?
 
Kauza Fomu katokomea kusikojulikana na pesa ya mauzo ya fomu
 
Acha waendelee kutekana mkuu..
Uchaguzi huu hakuna Kura za Huruma.
 
Upinzani wamefanya la maana sana kutosusia huu uchaguzi ili dunia ione uovu wa mtu fulani na Kundi lake na hatimae kupelekea anguko lake.
Yaani......... Wamesaidia sn kuianika ccm chama cha kishetani
 
Wewe unasitahili ban kabisa kwa taarifa zako za uongo!!
 
Safi sana tena naomba watekewe nchi nzima ili iwe fundisho..maana walsihaelezwa hili mapema wakapuuza shida ya chama chetu Chadema ni wabishi sana kuna baadhi ya mambo ,walishaambiwa uchaguzi huu mnapambana na adui zaidi ya mmoja kuna CCM,NEC na POLISI ajabu wameshindwa kutoa ulinzi hata wa wanachama siku tatu kabla kwa wagombea wao,mwisho wataishi kulalamika na hakuna kinachofanyika ni upumbavu tu[emoji51][emoji51]
 
Nao Chadema waache ujinga wao, hao chadema ni juhudi gani walizitumia kuwalinda hao wagombea wao, wakati hizo njama za kuwateka wagombea wao zilikua zinajulikana mapema. Kwa nini wasingeweka ulinzi kwa wagombea wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…