GE2025 Mgombea Ubunge Jimbo la Mvumi: Watu wanapewa tu cheo kidogo, wanatembea kama wana majipu

GE2025 Mgombea Ubunge Jimbo la Mvumi: Watu wanapewa tu cheo kidogo, wanatembea kama wana majipu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Wakuu,

Mgombea wa Ubunge wa Jimbo la Mvumi, Livingstone Lusinde maarufu Kibajaji, amesema baadhi ya viongozi wa umma wakishapewa nafasi za uongozi wanasahau utu kwa wananchi wanaowaongoza.

Kibajaji ameyasema hayo jijini Mbeya, alipokuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa kampeni za CCM Jimbo la Mbeya Mjini, ambapo amesisitiza kuwa wananchi wanapaswa kuwapima viongozi kwa namna wanavyotumikia jamii na si kwa majina au vyeo walivyonavyo.

"Watu wanapewa tu cheo kidogo tu wanabadilisha na mwendo, wanatembea kama wana majipu. Unamuuliza we nani eti mtendaji," alisema Kibajaji


 
Back
Top Bottom