upupu255
JF-Expert Member
- Sep 4, 2024
- 418
- 550
Mgombea Ubunge Jimbo la Tabora mjini kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Hawa Mwaifunga leo Septemba 25,2025 ameendelea na mikutano ya Kampeni kuomba ridhaa ya Wananchi wa Jimbo la Tabora mjini kumchagua.
Akiwa katika kata ya Mwinyi Mgombea Ubunge huyo amewaahidi wananchi wa kata hiyo kutatua kadhia kubwa ya mafuriko inayowakabili Wananchi wa kata hiyo kutokana na Miundombinu mibovu ya Barabara.