Uchaguzi 2020 Mgombea Ubunge Khamis Mwinjuma (Mwana FA) aliwahi kukiri kuwachukia baadhi ya watumishi wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama (Askari wa Jiji)

How did you remember all this young bro?
 
Huyu hakuwa amekaa kama mwanasiasa. Kwenye majukwaa ya ushindani asingeweza.
Alikuwa anastahili zaidi teuzi za Rais kuliko siasa za kutukanana majukwaani na wanasiasa wa upinzani waliokosa staha.
 
Ninamshauri ndugu yangu mwana FA, sasa hizo habari za Tundu Lissu sijui zinafuata nini hapa?

Hukujua Dunia Uwanja wa Fujo Ee!!?

Wakati wenzako wengine mastress ya Mapesa na mambo mengine yenye Akili wewe unaleta Habari za Mbongofleva.

Wacha tutifuane na asipangiwe Mtu aongee nini na wapi ailimurad hamtusi mwingine.

Sijui naeleweka?
 
Wakati wenzako wengine mastress ya Mapesa na mambo mengine yenye Akili wewe unaleta Habari za Mbongofleva.
Nimeleta habari za bongo flavour zinazoathiri "Political Platform" ya Tanzania. Kwani kuna ubaya?...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…