Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
- #61
Hapana mkuu. Sina neno kabisa kule KaweVipi huna neno kule jimboni kawe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana mkuu. Sina neno kabisa kule KaweVipi huna neno kule jimboni kawe?
How did you remember all this young bro?Soma pia>>> Do African political activists actually fight for democratic change or they simply keep alive a well-known old saying that "It's Our Turn to Eat"?
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa Jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty.
Sio kila muda tunapaswa kusoma na kujadili makala zinazohusiana na masuala ya cold war, jeshi na ujasusi wa KGB, CIA na Mossad. Ngoja leo tujadili kidogo changamoto za maisha katika jamii tunamoishi. Kila siku tukikaa kujadili masuala ya wazungu ni nani atazungumzia ustaarabu wetu?
Ndugu zangu wa Tanzania;
Ninapenda kuchukua wasaa huu kumpongeza kwa dhati na kwa moyo mkunjufu kabisa huyu ndugu yangu, kaka yangu na Binamu yangu Khamis Mwinjuma (Mwana FA) kwa kuteuliwa kuwa mgombea ubunge kupitia tiketi ya chama cha mapinduzi (CCM) katika jimbo la Muheza. Mungu akuongoze na kukupigania katika harakati zako Binamu yetu.
Sasa binamu, ingawa sisi waswahili tuna kamsemo ketu kanasema kwamba "ya kale hayanuki" pia "yaliyopita si ndwele, tugange yajayo" kwa miaka kadhaa iliyopita katika harakati za kazi zako za sanaa ya muziki uliwahi kuimba maneno haya katika wimbo unaoitwa MCHIZI WANGU REMIX;
HAYA NDIO SEHEMU YA MENEO YA MWANA-FA
============
Moyo unanienda mbio kama unaendeshwa na schumacher kila nikiwaza mchizi wangu huenda unateseka kwangu ni zaidi ya pacha binamu wa haswa haswa siwezi kuacha ukichoreka siwezi kuona unanyanyaswa mi ni kivuli chako siwezi kuacha kukufuata na kufeel ile kinoma zaidi ya maelezo si mzuka? I don't deserve you najua we nakuona kama zali we kwangu zaidi ya zawadi imeoshwa na mchanga wa kaburi? naiendesha DSM so wanachonga sometimes zibia masikio vitu vibaya ndo walivyo wanadamu nawachukia kama askari wa jiji.
Mimi kwa ushauri wangu tu kama mshabiki wa karibu kabisa wa kazi zako za sanaa na mtu anayekuombea mema katika maisha yako mapya ya siasa ninaomba utoe maneno kadhaa ya kuomba radhi kwa watu wa hiyo kada husika (askari wa jiji uliokuwa unawachukia), hususan kupitia accounts zako za mitandao ya kijamii kama vile Tweeter, Facebook na Instagram.
Binamu yangu, kwa sasa umeteuliwa na chama chako cha CCM kwenda kupeperusha bendera yao vema kama mgombea ubunge, which means kama sio wapinzani wako basi ni wewe ndiye utakayekuwa mshindi wa uchaguzi na miongoni mwa watu muhimu sana hapo jimboni muheza ukiwa pamoja na viongozi wenigne ngazi husikakama vile mkuu wa wilaya (DC), Police OCD, TISS-DSO pamoja na viongozi wengine wa ngazi ya serikali na chama katika kutekeleza majukumu kadha wa kadha ikiwamo ulinzi na usalama wa Raia wa Muheza pamoja na mali zao.
Kaka yangu mwana FA, Ujana una mambo mengi sana mkuu. Kuna siku inawezekana hao askari wa jiji walikukwaza katika utekelezaji wa shughuli zao za kila siku, sasa ukaamua kwenda kutoa stress kupitia nyimbo. It's okay kwa maana wewe pia ni mwanadamu una hasira na wao ni wanadamu pia na wanamapungufu yao.
Sasa muda umefika kaka mkubwa kuwa muungwana, be humble kisha OMBA RADHI uwaambie kuwa kijana mwenzao ulijikwaa tu ulimi na yale maneno hayakuwa kusudio lako na vile vile hii pia ibaki kama kumbukumbu kwa watanzania wengine wanaojihusisha na kazi za sanaa kwamba, unapokuwa unaongea ni lazima tuwe na AKIBA YA MANENO. Usiongee kwa hasira ukanena kila kitu kwa maana haujui kesho yako
Nina imani kubwa sana utaufanyia kazi ushauri wangu kwa maana anayekukosoa kwa njia za kiungwana (Constructive Criticisms) ndiye anayekupenda kwa adhati.
OFF-TOPIC KIDOGO: Kuna siku moja niliona mwana FA ameweka picha ya binti yake mrembo sana kule Facebook. Mwambieni na mimi Infantry Soldier ninacho kidume changu cha miaka 6 kinaanza darasa la kwanza mwakani na sisi wanaume wa mkoa wa Mara ni wagonjwa sana kwa mabinti weupe wa Kitanga, kwa sababu jeuri ya kulipia ng'ombe wengi tunayo. Hahahahaaaaaaaaa, I am just kiding! One Love Bro...
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
BIASHARA: Ninauza Vitabu Vya Kujifunzia Lugha Ya Kijerumani. Ich komme aus der Stadt Dar Es Salaam und verkaufe diese Deutsch-Lernbücher
Where is KAWE located please?Vipi huna neno kule jimboni kawe?
Naona hapa cross uliyoipiga unakwenda kufunga mwenyewe. Big up mkuu.Ni wachache sana ndio wanaweza kuelewa hii logic yako mkuu, ila wengine wanaona kama ndio loophole ya kumpigia hapo hapo
Huyu hakuwa amekaa kama mwanasiasa. Kwenye majukwaa ya ushindani asingeweza.Dah DCI Adadi kafyekelewa mbali.
Adadi wakati mwingine alikua anajiona Kama bado yupo polisi akiwa kwenye kamati ya ulinzi na usalama ya bunge
Adadi aliwahi kufokea ma RPC jinsi wanavyokamata wauza unga,eti wanawaonea!
Alikuwa anastahili zaidi teuzi za Rais kuliko siasa za kutukanana majukwaani na wanasiasa wa upinzani waliokosa staha.Huyu hakuwa amekaa kama mwanasiasa. Kwenye majukwaa ya ushindani asingeweza.
Hahahahaaaaaa sawa mkuu...Naona hapa cross uliyoipiga unakwenda kufunga mwenyewe.
Kwani mwanasiasa anakaaje?Huyu hakuwa amekaa kama mwanasiasa. Kwenye majukwaa ya ushindani asingeweza.
Ninamshauri ndugu yangu mwana FA, sasa hizo habari za Tundu Lissu sijui zinafuata nini hapa?
Dunia sio uwanja wa fujo bali kuna walimwengu wachache ndio wanaoleta hizo fujo...Hukujua Dunia Uwanja wa Fujo Ee!!?
Dunia sio uwanja wa fujo bali kuna walimwengu wachache ndio wanaoleta hizo fujo...
Nimeleta habari za bongo flavour zinazoathiri "Political Platform" ya Tanzania. Kwani kuna ubaya?...Wakati wenzako wengine mastress ya Mapesa na mambo mengine yenye Akili wewe unaleta Habari za Mbongofleva.
Hakuna ubaya Kama isivyokuwa na kwa Mimi kuuliza.Nimeleta habari za bongo flavour zinazoathiri "Political Platform" ya Tanzania. Kwani kuna ubaya?...
Basi sawa mkuu.Hakuna ubaya Kama isivyokuwa na kwa Mimi kuuliza.
mhh...!!!!! Sijui...Hizo fujo wanazifanyia wapi?
Akhera Ee?
wewe haukuuliza kwa nia njemaHakuna ubaya Kama isivyokuwa na kwa Mimi kuuliza.
wewe haukuuliza kwa nia njema
Ipake Rangi ya Mafuta Mkuu,Wee jamaa una roho mbaya sana
Akatage mayai ufipa huko. Ikulu ni mahala patakatifu haramu haiingii.Mwaka huu kitanuka. Habari ya Tanzania ni TUNDU LISSU
Tundu Lissu hana chake 2020. JPM JuuuuuAkatage mayai ufipa huko. Ikulu ni mahala patakatifu haramu haiingii.