Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
-
- #121
Mkuu, haiwezekani askari wa jiji wawe wanatekeleza wajibu wao wa kisheria (Maintaining Law and Order) alafu useme kuwa walikuwa wanakandamiza watu. They were following orders.kipi nilichopotosha mkuu
Ahahahahaaha au sioHata yule Dude nae akamatwe niliwahi kumuona anafanya utapeli wa mamilioni.
Huu sio uzi wa Lissu mkuu. Huu ni uzi wa kutoa ushauri kwa kaka yangu Mwana-FA...Lissu Lissu Lissu, hiyo ndiyo habari ya mjini.
Jiwe ndio nani mkuu?Mambo ya jiwe na member wenzake piga chini
Mbona Rais Magufuli anatoa elimu bure ? Waambieni Chadema kazi yao ni kununua sare tu ada wanalipiwa na Magufuli.Dude ndio nani mkuu?
Zitto aliutaka uenyekit wa chadema akafukuzwa Chama.Ninamshauri ndugu yangu mwana FA, sasa hizo habari za Tundu Lissu sijui zinafuata nini hapa?
CHADEMA ndio wapo hivi aisee? Mhhh...haya bhana mkuu.Zitto aliutaka uenyekit wa chadema akafukuzwa Chama.
Kwa sababu anawapenda watoto wa Tanzania...Mbona Rais Magufuli anatoa elimu bure ?
Chadema ni genge la wakora ,wakuogopwa kama ugonjwa wa ukoma,hawafai.Lissu Lissu Lissu, hiyo ndiyo habari ya mjini. Mambo ya jiwe na member wenzake piga chini
Mataga bhana, najua hata wewe utapiga kura kwa Lissu, Jiwe lazima lipigwe chiniChadema ni genge la wakora ,wakuogopwa kama ugonjwa wa ukoma,hawafai.
Mkuu, hivi huyu Jiwe ndio nani? Mbona watu wanapenda sana kumtaja taja humu kunako JF?Mataga bhana, najua hata wewe utapiga kura kwa Lissu, Jiwe lazima lipigwe chini
hahahaaaaa mimi simo kabisa mkuuChadema ni genge la wakora ,wakuogopwa kama ugonjwa wa ukoma,hawafai.
CCM yapokea kwa mshtuko taarifa ya ajali mbaya ya Wasanii Belle 9 na Bonge la Nyau, yawatakia uponyaji wa haraka!Mkuu, haiwezekani askari wa jiji wawe wanatekeleza wajibu wao wa kisheria (Maintaining Law and Order) alafu useme kuwa walikuwa wanakandamiza watu. They were following orders.
Chadema ingechaguliwa 2015 haya maendeleo ya ujenzi wa miundombinu ikiwemo SGR, Bwawa la umeme Fly overs, ununuzi wa ndege nk...nk ingekuwa bado ni ndoto kwa watanzania.Ninamshauri ndugu yangu mwana FA, sasa hizo habari za Tundu Lissu sijui zinafuata nini hapa?
Lissu anajifanya hajui unafiki wa CHADEMA, aibu atakayopata anaweza akakimbia Nchi.Ninamshauri ndugu yangu mwana FA, sasa hizo habari za Tundu Lissu sijui zinafuata nini hapa?
Chadema walilamikia ufisadi ila Magufuli ameondoa ufisadi na matokeo yake majizi na mafisadi yamekimbilia kujificha Chadema.Ninamshauri ndugu yangu mwana FA, sasa hizo habari za Tundu Lissu sijui zinafuata nini hapa?
Chadema walilamikia ufisadi ila Magufuli ameondoa ufisadi na matokeo yake majizi na mafisadi yamekimbilia kujificha Chadema.Ninamshauri ndugu yangu mwana FA, sasa hizo habari za Tundu Lissu sijui zinafuata nini hapa?
Chadema walilamikia ufisadi ila Magufuli ameondoa ufisadi na matokeo yake majizi na mafisadi yamekimbilia kujificha Chadema.Ninamshauri ndugu yangu mwana FA, sasa hizo habari za Tundu Lissu sijui zinafuata nini hapa?
CCM ni genge la kigaidi linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kuendelea kutawalaChadema ni genge la wakora ,wakuogopwa kama ugonjwa wa ukoma,hawafai.