Uchaguzi 2020 Mgombea Ubunge Khamis Mwinjuma (Mwana FA) aliwahi kukiri kuwachukia baadhi ya watumishi wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama (Askari wa Jiji)

kipi nilichopotosha mkuu
Mkuu, haiwezekani askari wa jiji wawe wanatekeleza wajibu wao wa kisheria (Maintaining Law and Order) alafu useme kuwa walikuwa wanakandamiza watu. They were following orders.
 
CCM yapokea kwa mshtuko taarifa ya ajali mbaya ya Wasanii Belle 9 na Bonge la Nyau, yawatakia uponyaji wa haraka!
 
Ninamshauri ndugu yangu mwana FA, sasa hizo habari za Tundu Lissu sijui zinafuata nini hapa?
Chadema ingechaguliwa 2015 haya maendeleo ya ujenzi wa miundombinu ikiwemo SGR, Bwawa la umeme Fly overs, ununuzi wa ndege nk...nk ingekuwa bado ni ndoto kwa watanzania.
 
Ninamshauri ndugu yangu mwana FA, sasa hizo habari za Tundu Lissu sijui zinafuata nini hapa?
Chadema walilamikia ufisadi ila Magufuli ameondoa ufisadi na matokeo yake majizi na mafisadi yamekimbilia kujificha Chadema.
 
Back
Top Bottom