Kadi Poa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 2,015
- 1,005
Tabia yako haisafishiki hata kwa jikiIpake Rangi ya Mafuta Mkuu,
Ikichafuka rahisi kusafisha,
Sawa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tabia yako haisafishiki hata kwa jikiIpake Rangi ya Mafuta Mkuu,
Ikichafuka rahisi kusafisha,
Sawa?
Duh!Tabia yako haisafishiki hata kwa jiki
Mkuu, kwa kumalizia tu ni kwamba toka huko CHADEMA ulipo njoo CCM.Ipake Rangi ya Mafuta Mkuu,
Ikichafuka rahisi kusafisha,
Sawa?
Kuna kitu unakitafuta kwangu🤒Mkuu, kwa kumalizia tu ni kwamba toka huko CHADEMA ulipo njoo CCM.
Kitu gani?Kuna kitu unakitafuta kwangu🤒
Kuna kitu unakitafuta kwangu🤒
Hapo🤒Mkuu, kwa kumalizia tu ni kwamba toka huko CHADEMA ulipo njoo CCM.
Wadau mpaka sasa nasikia CCM imeshachukua majimbo naneHuyu hakuwa amekaa kama mwanasiasa. Kwenye majukwaa ya ushindani asingeweza.
Bongo Dar es salaamHuwezi kuelewa
Wewe jamaa haujui kabisa siasa kwa maana una hasira za karibu sanaHapo🤒
Tatizo unafki mwingi anga hizo.Wewe jamaa haujui kabisa siasa kwa maana una hasira za karibu sana
Kamuone daktari haraka sana, wewe siyo mzima hata kidogo. Kilangila.Ni yeye
Yaani kabla ya hata ya kitufe kubonyezwa majimbo mengi wapinzani wamenyanyua mikono na CCM wanayachukua CCM imepita bila kupingwa.Kamuone daktari haraka sana, wewe siyo mzima hata kidogo. Kilangila.
Duuuh...Yaani kabla ya hata ya kitufe kubonyezwa majimbo mengi wapinzani wamenyanyua mikono na CCM wanayachukua
Long live JPM Rais bora africa na dunia kwajumla.kwa kuishinda corona.Duuuh...
Amen.Long live JPM Rais bora africa na dunia kwajumla.kwa kuishinda corona.
Vyama vya siasa vivunje sheria wakulaumiwa awe Magufuli ! Magufuli anaonewa sana na upinzani sababu amezidi kuwadekeza.Bongo Dar es salaam
Sawa...Vyama vya siasa vivunje sheria wakulaumiwa awe Magufuli !
Sasa mkuu, unapendekeza Dr. Magufuli afanye nini ili kupambana na wapinzani?Magufuli anaonewa sana na upinzani sababu amezidi kuwadekeza.
Wanaomtukana Rais JPM wakamatwe na Polisi.Sasa mkuu, unapendekeza Dr. Magufuli afanye nini ili kupambana na wapinzani?
Kumtukana mkuu wa nchi ni jambo baya sanaWanaomtukana Rais JPM wakamatwe na Polisi.