mwanamwana
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,309
- 4,798
Mgombea Ubunge wa Kilwa Kusini kwa tiketi ya ACT-Wazalendo, Selemani Bungara ‘Bwege’ akifuatilia kwa makini hotuba ya Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Kassim Majaliwa wakati alipomuombea kura mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Rais John Magufuli, wabunge na madiwani wa CCM.
[ATTACH type="full"
Majaliwa hana jipya
Najua bwege hafiki beiMgombea Ubunge wa Kilwa Kusini kwa tiketi ya ACT-Wazalendo, Selemani Bungara ‘Bwege’ akifuatilia kwa makini hotuba ya Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Kassim Majaliwa wakati alipomuombea kura mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Rais John Magufuli, wabunge na madiwani wa CCM.
Selemani Bungala kweli ni bwege huyu jamaa.
Huu wakati wa uchaguzi,hakuna kutekana.Mgombea Ubunge wa Kilwa Kusini kwa tiketi ya ACT-Wazalendo, Selemani Bungara ‘Bwege’ akifuatilia kwa makini hotuba ya Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Kassim Majaliwa wakati alipomuombea kura mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Rais John Magufuli, wabunge na madiwani wa CCM.
Ana akili sana huyu jamaa.Hapo anaangalia udhaifu wao, ili ajue pa kupiga!
Soma kwanza uzi uelewe mkuu.Act wazalendo sio chama. Full maigizo
Hapo anamsikiliza vema Majaliwa ili akamchane sawasawa kwenye mikutano yakeHii kali sana, hivi ndio huyu alisema Magufuli amekula rushwa ya jogoo alilopewa 🤣🤣🤣
Habari yako mkuu,?