Uchaguzi 2020 Mgombea Ubunge Kilwa Kusini, Bwege(ACT-Wazalendo) akiwa kwenye Mkutano wa Kassim Majaliwa akinadi wagombea wa CCM

mwanamwana

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
1,309
Reaction score
4,798
Mgombea Ubunge wa Kilwa Kusini kwa tiketi ya ACT-Wazalendo, Selemani Bungara ‘Bwege’ akifuatilia kwa makini hotuba ya Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Kassim Majaliwa wakati alipomuombea kura mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Rais John Magufuli, wabunge na madiwani wa CCM.

1.jpg
2.jpg
 
[ATTACH type="full"
Majaliwa hana jipya​
 
Mgombea Ubunge wa Kilwa Kusini kwa tiketi ya ACT-Wazalendo, Selemani Bungara ‘Bwege’ akifuatilia kwa makini hotuba ya Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Kassim Majaliwa wakati alipomuombea kura mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Rais John Magufuli, wabunge na madiwani wa CCM.

Huu wakati wa uchaguzi,hakuna kutekana.
 
Hii kali sana, hivi ndio huyu alisema Magufuli amekula rushwa ya jogoo alilopewa 🤣🤣🤣
 
Yupo sawa na kiongozi makini. Kusikia live hoja, hadhira ya kusombwa na mabus nk kisha anatoa makombora.
 
Heading imekaa kifitina fitina. Usiposoma ndani unaweza kudhani Bwege kaunga mkono juhudi
 
Back
Top Bottom