Mgombea ubunge kupitia CHADEMA ajigeuza ombaomba

Mgombea ubunge kupitia CHADEMA ajigeuza ombaomba

jingalao

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
36,197
Reaction score
29,717
IMG_20200815_090212.jpg

Yaani anataka wananchi wamtatulie shida zake!!
 
Wengi wangefanya hivi kulikuwa hakuna haja ya kuchomana visu kipuuzi wala kufanya maandamano ya kijinga.
 
Sio kwa ajili ya kampeni za wagombea tusiwe wanafiki
Jibu kwanza kwann Deni la nchi linapaa

Kama miradi yote tunajenga kwa pesa zetu za ndani.
Tunakusanya Kodi kupita malengo

Why deni linapanda, ebu tuelimishe theory inayotumika apo

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Umeambiwa kukopa ni dhambi??
Kuna kipindi tumewasema sana wagogo kwa kuwa ombaomba leo hii mgombea wenu akifanya yale yale ya matonya mnamtetea.
Hivi ameshindwa kwenda kukopa??
 
sion tatizo. Gharama za uchaguzi huwa zinachangiwa! Mfano mzuri ni Marekani as long as zinawekwa wazi! Safi sana Julius!
Utaratibu wa kuchangia gharama za uchaguzi kwenye chama chenu upo vipi?
Je utaratibu wa kuchangiwa kwa mujibu wa sheria za nchi upoje?
Yaani mgombea anaomba na kuchangisha kihuni hivi??Hata michango ya harusi haikusanywi hivi.
 
Kilichokosea ni kipi?
 
Back
Top Bottom