Mgombea ubunge kupitia CHADEMA ajigeuza ombaomba

Mgombea ubunge kupitia CHADEMA ajigeuza ombaomba

Umeambiwa kukopa ni dhambi??
Kuna kipindi tumewasema sana wagogo kwa kuwa ombaomba leo hii mgombea wenu akifanya yale yale ya matonya mnamtetea.
Hivi ameshindwa kwenda kukopa??
Mnakopa kwa mabeberu?
 
Hawa ndiyo baadae huwa tunaambiwa wamenunuliwa kama parachichi.
 
Back
Top Bottom