McLaren
JF-Expert Member
- Feb 19, 2025
- 1,170
- 3,743
Mgombea wa ubunge katika jimbo la Monduli Mkoani Arusha Issack Corpion Kadogoo akizungumza kwenye kampeni amesema kuwa Hayati Edward Lowassa alishwahi kumwambia kuwa atakuja kuwa Mbunge wa Monduli
Ikumbukwe kuwa mtoto wa Edward Lowassa alikatwa na CCM kuwa mgombea wa Ubunge wa CCM kwenye hili jimbo. Huyu Kadogoo ndio kama amemreplace
Ikumbukwe kuwa mtoto wa Edward Lowassa alikatwa na CCM kuwa mgombea wa Ubunge wa CCM kwenye hili jimbo. Huyu Kadogoo ndio kama amemreplace