GE2025 Mgombea ubunge Peramiho, Jenista Mhagama avaa Sare za CCM kwenye Ibada ya Ndoa

GE2025 Mgombea ubunge Peramiho, Jenista Mhagama avaa Sare za CCM kwenye Ibada ya Ndoa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

PAYE

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2025
Posts
459
Reaction score
644
Mgombea wa Ubunge Jimbo la Peramiho Jenista Mhagama ameahirisha shughuli za kampeni kwa muda wa saa 2 ili kuungana na wananchi wa Kijiji cha Mdunduwalo katika Kata ya Maposeni kushiriki kwenye ibada takatifu ya ndoa ya Bw. Edwin Haule na Maria Bura iliyofanyika katika Parokia ya Mdunduwalo.

1760247067827.png
Tukio hilo limetokea jana Oktoba 11 wakati Ndugu Mhagama akiwa kwenye muendelezo wa kampeni za kupita kwenye kila Kijiji katika Jimbo hilo kunadi Sera za Chama Cha Mapinduzi CCM kupitia Ilani yake ya Uchaguzi 2025 na kuomba ridhaa ya wananchi kukipigia kura za ndio CCM katika uchaguzi Mkuu unaotatajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025.


1760247027012.png
Mara baada ya kushiriki ibada ya ndoa ya Bw. na Bibi Haule, Ndugu Jenista Mhagama ameendelea na kampeni katika vijiji vya Litowa na Chwilungi vya Kata ya Parangu.

1760246970524.png

1760246997019.png

1760247045379.png
 
Anapaka mkorogo wa beii chee, hadi anakua km ndizi za kuchoma.

Mahela yotee hayo alionayo, bado anapaka mkorogo wa Kupima? Hapo pichani utasema mshangazi wa Buza

Mama huyu ni mlafi wa madaraka, mxxxiieeeew.
 
Hawa ndo wanaogopa mabadiliko hata Elimu yake ya hapa na pale
 
Anapaka mkorogo wa beii chee, hadi anakua km ndizi za kuchoma.

Mahela yotee hayo alionayo, bado anapaka mkorogo wa Kupima? Hapo pichani utasema mshangazi wa Buza

Mama huyu ni mlafi wa madaraka, mxxxiieeeew.
Huyo ni age go. Hata afanyaje atabaki mshangazi wa buza kwa lulenge tu.
 
Ndio huwa wanamuita Malikia wa Peramiho😁
 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
Anapaka mkorogo wa beii chee, hadi anakua km ndizi za kuchoma.

Mahela yotee hayo alionayo, bado anapaka mkorogo wa Kupima? Hapo pichani utasema mshangazi wa Buza

Mama huyu ni mlafi wa madaraka, mxxxiieeeew.
Huna sababu ya kumkashifu
 
Kuna wabunge wamekataa bungeni mpaka Wana fanana na bunge
 
Back
Top Bottom