dikteta2020
JF-Expert Member
- Aug 14, 2018
- 595
- 3,991
Jana Boniface Jacob wa Ubungo alisimamishwa kwa siku saba. Leo Gervas Mgonja amesimamishwa kwa siku 14. Wote ni wa CHADEMA. Huu utararibu ulianza lini?
Kamati ya Maadili ya Jimbo la Same Magharibi, imekuta na hatia katika fujo zilizotokea kati yake na Diwani wa CCM kwenye jimbo Husika. Mwenyeki wa Kamati ya Maadili ni Mkurugenzi.
NEC msicheze na huu uchaguzi, mtaishia pabaya.