CHADEMA ilifanya makosa sana kumpitisha Gervas Mgonja kuwa mgombea Same.
1.Gervas Mgonja siyo mkazi wa Same, ni mkazi na mpishi ktk hoteli ya kitalii Ars, lakini pamoja na hilo hana makazi Same. Same ni kijijini tu, siyo sawa na Dar , Ars , Mwz nk , maeneo hayo yanahitaji mtu makini mwenye local and native touch na wananchi.
2.Gervas ni mtu asiye na staha, mgombea wa ubunge kumvamia na kumpiga mgombea udiwani wa CCM kata ya Vudee ndg Youze Mzava na kumjeruhi mbele za wananchi ni jambo la ajabu sana na lisilotakiwa kufanywa na mtu makini.
3.Anatakiwa afungiwe na NEC kufanya kampeni na jeshi la police liendelee na mchakato wa kumburuza mahakamani baada ya kukiri kuwa alimpiga.
Nawaomba NEC wasiwaachie bila adhabu watu wa aina hii. Mambo ya vurugu asiwapelekee wazee wetu huko vijijini, aendelee huko Arusha.
Sent from my LG-F800S using
JamiiForums mobile app