dikteta2020
JF-Expert Member
- Aug 14, 2018
- 595
- 3,991
Nchi inapitia wakati mgumu sana na inatengeneza historia mbaya haijawahi kutokea. CCM na Serikali wanayofanya hawata kuja kusamehewa na vizazi hivi na vijavyo. Historia itaongea.
Ndio umeanza bwashee!Jana Boniface Jacob wa Ubungo alisimamishwa kwa siku saba
Leo Gervas Mgonja amesimamishwa kwa siku 14
Wote ni wa CHADEMA. Huu utararibu ulianza lini?
NEC msicheze na huu uchaguzi, mtaishia pabaya!
Kwa hiyo "SIASA" na yenyewe ni mchezo? Basi ingefanywa kuwekwa chini ya Wizara Ya Michezo Na Sanaa, ili wananchi tukajua moja.Kila mchezo una sheria, na hata mchezo wa ngumi ambao ni mchezo wa fujo nao una sheria pia.
Kwa hiyo "SIASA" na yenyewe ni mchezo? Basi ingefanywa kuwekwa chini ya Wizara Ya Michezo Na Sanaa, ili wananchi tukajua moja.
Wacha waendelee kuyakoroga ili hata wale waliolala nao waamke, giza linapozidi ndio kunakaribia kupambazuka.Jana Boniface Jacob wa Ubungo alisimamishwa kwa siku saba
Leo Gervas Mgonja amesimamishwa kwa siku 14
Wote ni wa CHADEMA. Huu utararibu ulianza lini?
NEC msicheze na huu uchaguzi, mtaishia pabaya!
Walitangaza mapema kupitia vyombo vya habari kwamba mtu akitoa kashfa na matusi jukwaani (badala ya sera) ambayo hayana ushahidi, adhabu mojawapo ni kufungiwa kufanya kampeni kwa siku kadhaaJana Boniface Jacob wa Ubungo alisimamishwa kwa siku saba
Leo Gervas Mgonja amesimamishwa kwa siku 14
Wote ni wa CHADEMA. Huu utararibu ulianza lini?
CCM wamechanganyikiwa wamefanya kampeni miaka 5 peke yao wame prove failure nini siku 14.Ndio umeanza bwashee!
Sababu za kusimamishwa ni zipi??Jana Boniface Jacob wa Ubungo alisimamishwa kwa siku saba
Leo Gervas Mgonja amesimamishwa kwa siku 14
Wote ni wa CHADEMA. Huu utararibu ulianza lini?
NEC msicheze na huu uchaguzi, mtaishia pabaya!
Jana Boniface Jacob wa Ubungo alisimamishwa kwa siku saba
Leo Gervas Mgonja amesimamishwa kwa siku 14
Wote ni wa CHADEMA. Huu utararibu ulianza lini?
NEC msicheze na huu uchaguzi, mtaishia pabaya!
Nenda kasome miiko na maadili ya uchaguzi ambayo vyama vyote vimesaini badala ya kuja kubweka humuJana Boniface Jacob wa Ubungo alisimamishwa kwa siku saba
Leo Gervas Mgonja amesimamishwa kwa siku 14
Wote ni wa CHADEMA. Huu utararibu ulianza lini?
NEC msicheze na huu uchaguzi, mtaishia pabaya!
Hawa jamaa hata wasipofanya kampeni watapita kama mshaleJana Boniface Jacob wa Ubungo alisimamishwa kwa siku saba
Leo Gervas Mgonja amesimamishwa kwa siku 14
Wote ni wa CHADEMA. Huu utararibu ulianza lini?
NEC msicheze na huu uchaguzi, mtaishia pabaya!
Mkuu hebu funguka tumalize mashaka inaonekana una taarifa nzuri zenye ushahidi usio na mashaka. Mogmbea alitakiwa kujua sheria za mchezo kabla ya kuingia uwanjaniCHADEMA ilifanya makosa sana kumpitisha Gervas Mgonja kuwa mgombea Same. 1.Gervas Mgonja siyo mkazi wa Same, ni mkazi na mpishi ktk hoteli ya kitalii Ars, lakini pamoja na hilo hana makazi Same...
Halafu Bavicha wanalalamika wanaonewa!CHADEMA ilifanya makosa sana kumpitisha Gervas Mgonja kuwa mgombea Same. 1.Gervas Mgonja siyo mkazi wa Same, ni mkazi na mpishi ktk hoteli ya kitalii Ars, lakini pamoja na hilo hana makazi Same...