Uchaguzi 2020 Mgombea Ubunge Same Magharibi kupitia CHADEMA, Gervas Mgonja asimamishwa kufanya kampeni kwa siku 14. NEC mtueleze huu utararibu ulianza lini?

Kuna wale waliomwita Matiko Malaya,wala hawajafungiwa!
 
Halafu mbona sioni picha za wana CCM wakipiga kampeni za Ubunge kulikoni?
 
Kumbe kampiga mtu? au unamsingizia ewe malaika mkuu?
 
Jana Boniface Jacob wa Ubungo alisimamishwa kwa siku saba
Leo Gervas Mgonja amesimamishwa kwa siku 14
Wote ni wa CHADEMA. Huu utararibu ulianza lini?

NEC msicheze na huu uchaguzi, mtaishia pabaya!
Mnakosea sana kujifanya wageni wa sheria na taratibu za uchaguzi
 
Hii ni aibu kubwa Sana kwa chadema , mgombea na mleta mada ,

Ni tabia za kihuni kabisa hizo katika zama hizi za jamii iliyostaarabika,

Kupigana ni ishara ya hali ya juu kabisa kuwa mhusika hana busara na hafai kuwa kiongozi.
 
Naunga mkono hoja. Huyu si wa kufungiwa mikutano ya kampeni tu bali anatakiwa afungwe hadi tutakapomuapisha huyo diwani aliyempiga ndio atashika adabu.
 
Tokezea barabarani acha kutishia nyau!
 
Huyo angefanya mambo hayo kwetu Mwanza ampige mwakijiji tunayeishi naye wakati yeye ni wakuja!! Sasa hivi angekuwa yuko jehanamu!
 
Kwahiyo mgombea wa CCM anamtumia Polepole ili asifungiwe! NEC hawezi kumfungia mtu asiye mgombea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…