GE2025 Mgombea Ubunge Tabora agalagala kumwombea kura Samia

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,604
Reaction score
22,722
Kuna mgombea wa Viti maalum kutoka mkoa wa Tabora anayeitwa Christina Mndeme, katika hatua ya kumwombea kura Samia Suluhu, ametupa burudani kwa kupiga magoti na kugalagala chini.


Your browser is not able to display this video.
 
Kuna mgombea wa Viti maalum kutoka mkoa wa Tabora anayeitwa Christina Mndeme, katika hatua ya kumwombea kura Samia Suluhu, ametupa burudani kwa kupiga magoti na kugalagala chini.


View attachment 3470334
Mlinzi wa mama alisimama haraka kuhakikisha kugalagala hakufiki miguuni kwa boss wake.
Mama sitta naye jana aliniacha hoi alipomtambulisha mgombea
Your browser is not able to display this video.
 
Hizi drama zote, CCM wanashindana na nani?
Sera eti ni kutozuia maiti, kwani maiti zilizuiwa kipindi cha CHADEMA. Si ni wao wenyewe ndio walikuja na sera za kuuza maiti.
 
Kuna mikamera ilimpotezea huyu mama akigalagala, atalambishwa uteuzi huyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…