Hivi kweli haki itatendeka jimbo hili?
Jamani haya mambo yanatoka wapi tena, Batilda ameanza hujuma, badala ya yeye kukamatwa kwa rushwa, amzushia zengwe Lema.
Nani wa kukushtaki.Na mm namtishia mbayuwayu kumuua....njooni mnishtaki
Source: Habari TBC1
Mgombea ubungwe kwa tiketi ya Chadema amefikishwa kwa tuhuma za kutishia kuua. Msimamizi wa uchaguzi wa jimbo hilo ndio amefungua kesi hiyo akimtuhumu Lema kumtishia kumuua endapo atashindwa((Lema) kwenye uchaguzi.
Hivi kweli haki itatendeka jimbo hili?
Jamani haya mambo yanatoka wapi tena, Batilda ameanza hujuma, badala ya yeye kukamatwa kwa rushwa, amzushia zengwe Lema.
Source: Habari TBC1
Mgombea ubungwe kwa tiketi ya Chadema amefikishwa kwa tuhuma za kutishia kuua. Msimamizi wa uchaguzi wa jimbo hilo ndio amefungua kesi hiyo akimtuhumu Lema kumtishia kumuua endapo atashindwa((Lema) kwenye uchaguzi.
Hivi kweli haki itatendeka jimbo hili?
Jamani haya mambo yanatoka wapi tena, Batilda ameanza hujuma, badala ya yeye kukamatwa kwa rushwa, amzushia zengwe Lema.
Haa haa haa! Yaani wewe unafanya judgement ya ukweli wa habari ya humu kwa kuangalia baadhi ya magazeti? Mbona wakati mwingine magazeti yanachukua habari humu? Ingekuwa vizuri umkomalie mleta habari athibitishe, si kama unavyotaka kufanya reference kwenye media nyingine.MODS; Mimi nadhani hii habari siyo kweli. Nimesoma leo magazeti ya T Daima, Mwananchi na Nipashe ambayo nina hakika habari hiyo isingeachwa lkuchapishwa akini hamna. Sijui magazeti mengine.