Elections 2010 Mgombea Ubunge wa Chadema Arusha mjini afunguliwa Mashtaka kwa kutishia kuua


Mkuu Tuko,
Umeshindwa kuelewa kitu kimoja muhimu Tanzania ukiwa mchafu/fisadi bado unaweza kushinda uchaguzi.Ikitokea Lema akashinda ubunge hakutaondoa kwamba aliuza ubunge

Wamaaanisha Last election ya yeye na Felix Mrema Aliuza Ubunge?????

Na Kama aliuuza aliuuza katika mazingira yapi ya ihali au kulazimishwa??



Mkuu Tuko,
Umeshindwa kuelewa kitu kimoja muhimu Tanzania ukiwa mchafu/fisadi bado unaweza kushinda uchaguzi.Ikitokea Lema akashinda ubunge hakutaondoa kwamba aliuza ubunge,alishiriki kumuuza diwani wa upinzani CCM,....

Alimuuza Diwani gani yule aliye kuwa nae kwa TLP namkumbuka enzi zile nkisoma huko yule Diwani ni wa huku mwanza msukuma yule nasikia anamsimamo wa mabadiliko mbaya hata CCM wenye pale wanamgwaya nakumbuka alikuwa anaitwa mawazo



Mkuu Tuko,
Umeshindwa kuelewa kitu kimoja muhimu Tanzania ukiwa mchafu/fisadi bado unaweza kushinda uchaguzi.Ikitokea Lema akashinda ubunge hakutaondoa kwamba aliuza ubunge,alishiriki kumuuza diwani wa upinzani CCM,anasema uongo kuhusu elimu yake.

Hivi ni wagombea wangapi wameisha tupiga changa la macho? me nacho dhani na ni bora hawa viongozi wetu wagombea i mean wawe wakweli uwakirishi sio lazima umalize chuo kikuuu ni umakinifu wako wa kazi kwa jamii uanvyojitole kuwakilisha wananchi wako yajue majukumu ya jimbo lako wanataka nini na utawafanyia nini uwe mzalendo na machungu ya jimbo lako na nchi yako usie mbaka uchumi
 
kwani tbc1 ni malaika kwamba wao hawawezi kusema uongo, marksman kasema si za kweli hajasema wewe si mkweli tofautisha hapo.
kwa hiyo wamemtumia kamanda wa polisi kuzusha? Kama ni hivyo kazi ipo mwaka huu.
 
Umeonye chuki binafsi tangu mwanzo zidi ya Lema kwa madai Lema aliuza ubunge, alimpigia kampeni mgombea wa CCM kampeni lakini baada ya Lema kujibu huo utumbo wako hukufungua domo lako ati Lema hakubaliki Sombetini acha huu ni ujinga mwingine mimi naishi sombetini Lema anakubalika sana kidogo na CCM na wala siyo huyo unaimpigia chapuo Bwana Lyimo, Lyimo nimeona anakubalika kule Uswahilini yaani sokoni one na....Lema anajua kujieleza kuliko mgombea yoyote hapa arusha
kuhusu kuikashifu CCM mara kwa mara ni kwa sababu walimwimbia kura, wanafanya kampeni chafu yaani za kifisadi ulitaka awapambe, Lema amekuwa akitoa kauli kwenye mikutano yake wakimwibia kura mwaka huu Peoples Power itachukua nafasi maneno ambayo yamekuwa yakiwatisha, kama humkubali Lema ni haki yako lakini acha chuki...
 
Mbona Dr. Batilda Buriani hana ratiba bali anagonga milango usiku?
 
hizi ni hujuma za maza wa kizenji ''batilda'' hana jipya hio phd yake sijui ni ya ktu gani, hawezi kueleza kitu gani hasa atakifanya mara atapoingia madarakani.

kweli elimu ya bongo ni ya makaratasi zaidi.. hajui kitu huyu maza. Lema lazima aipeperusha bendera ya CHADEMA AR 2010.
God bless Lema, God bless AR, God bless TZ Amen.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…