Jethro hata akiamia huko hao wameru watamkubali kweli au ndo atakosa bara na pwani:nono:
Ishu nzima iko hivi; jana Lema akiwa kwenye kampeni za ubunge kuna landcruiser ilienda ikapaki kwenye eneo la kampeni..
Baada ya muda kuna mama akashuka akaanza kugawa kanga na tshirt, pale vurugu zikaanza na watu wawili kati ya wanne waliokuwa kwenye lile gari wakakimbia..
Wananchi walipomtaiti dereva, dereva akasema ni gari ya usalama wa taifa...na waandishi walisema it is possible sababu haikuwa na stika zozote kwenye kioo..kilichowachanganya ni kuwa namba za gari zilikuwa tofauti na namba za kwenye vioo...
Gari ilipekuliwa na kulikuwa na pesa na tshirt ndani..ishu ikafika polisi...baada ya muda ishu ikageuka na ikasemekana Lema na kundi lake ndio wameishambulia ile gari...leo Lema akiwa anatoka kwenye kampeni jioni hii ndio wakamtait...hivi ndivyo ishu ilivyo...
amekamatwa saa ngapi? ni,emwona muda hu huu
Tatizo la Lema ni anakitu kama utoto flani hivi,anadhani anaweza kufanya chochote na hatishiki
Huo ubabe unasabaibishwa na nini wakati vyombo vya dola vipo? Jiulize, kwa nini waliamua kkuvamia ofisi za TAKUKURU Arusha? Je, kwa nini aliamua kumkamata mgombea wa TLP aliyekuwa akitangaza kwa gari kuwa Wagombea wa vyama vya Upiznani wamejitoa na kumuunga mkono yeye wakati ni uongo? Polisi walikuwa wapi? Walichukua hatua gani wakati Polisi wenyewe wa Doria wapo mitaani, hata wale Trafiki wapo barabarani hata Mlalamikaji aamue kutoka alikokuwa na kuamua kumkamta?
Majibu yako yakupe clue kuwa Dola hapa ARUSHA ina-side na upande fulani au imeamua kumpuuza kitu ambacho ni hatari maana naye Lema ana watu wanoomuunga mkono.
Kuna mdau katutumia ujumbe kuwa Godfrey Lema ambaye ni mgombea ubunge kwa tiketi ya CHADEMA jimbo la Arusha mjini yupo mikononi mwa polisi. Kisa na mkasa tutawafahamisha punde kwani anaendelea kufuatilia chanzo cha kukamatwa kwa bwana Lema

That is the true version ya kilichotokea. Hata mimi nilikuwepo hapo Police Central usiku huu. Bado yupo ndani hawajamtoa. Vijana wa CHADEMA walianza kukusanyika hapo Central, Polisi (in riot gear) wakawafukuza around saa 4 usiku hivi.Nimeongea na mgombea Udiwani kata ya Levolosi Chadema sasa hivi. Kilichotokea ni kwamba alikuwa na mkutano katika kata yake na Lema alikuwepo pia, baada ya mkutano waliondoka kwa kuongozana magari mengi walipofika mnara wa mwenge round about wakakutana na OCD wakasimamisha msafara na kuanza kuwapiga watu vibaya, Lema na bwana Nanyaro wakaenda Central police kutafuta PF 3 kwa ajili ya majeruhi ndipo alipoambiwa anatafutwa na kuswekwa rumande kwa muda na saa hizi ndio wanachukua maelezo yake nadhani atatoka muda sio mrefu. Huu utakuwa ni uonevu tu lakini nguvu ya Umma kuizuia itakuwa vigumu. Mungu ibariki nchi yetu.
Ishu nzima iko hivi; jana Lema akiwa kwenye kampeni za ubunge kuna landcruiser ilienda ikapaki kwenye eneo la kampeni..
Baada ya muda kuna mama akashuka akaanza kugawa kanga na tshirt, pale vurugu zikaanza na watu wawili kati ya wanne waliokuwa kwenye lile gari wakakimbia..
Wananchi walipomtaiti dereva, dereva akasema ni gari ya usalama wa taifa...na waandishi walisema it is possible sababu haikuwa na stika zozote kwenye kioo..kilichowachanganya ni kuwa namba za gari zilikuwa tofauti na namba za kwenye vioo...
Gari ilipekuliwa na kulikuwa na pesa na tshirt ndani..ishu ikafika polisi...baada ya muda ishu ikageuka na ikasemekana Lema na kundi lake ndio wameishambulia ile gari...leo Lema akiwa anatoka kwenye kampeni jioni hii ndio wakamtait...hivi ndivyo ishu ilivyo...
Kibs... hivi anko wako akizidi kukutusi, kukuchokoa na kukudharau nyumbani kwako utamuangalia tu??.... eniwei sisemi sana lakini nijuavyo mimi ni kwamba Lema ni style ya Mbowe, they can not hold back once excited, he needs to get super back up otherwise kesi itaisha in 5 days na yeye atafungwa; Lowassa ana nguvu sana and Lema should have known betterAtakuwa amevikosea adabu tu kwa vyombo vya sheria...
Atakuwa amevikosea adabu tu kwa vyombo vya sheria...