GE2025 Mgombea ubunge wa CHAUMMA aahidi uji, ubwabwa na "wifi" ya bure

GE2025 Mgombea ubunge wa CHAUMMA aahidi uji, ubwabwa na "wifi" ya bure

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Mgombea wa Ubunge Jimbo la Lindi mjini, kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) katika Halmashauri ya Manispaa ya Lindi mkoani Lindi, Bw. Homoratus Daud, amezindua katika kampeni ya Ubunge pamoja na Madiwani huku wakiahidi wakifanikiwa kuchaguliwa katika nafasi hizo watahakikisha wanajenga viwanda 10 ili vijana waweze kupata ajira, wanafunzi watakunywa uji mashuleni bure bila kusahau ubwabwa na kila mitaa na vijiwe vya bodaboda watahakikisha wanapeleka huduma ya wifi.

 
Safi sana.Kwa sababu wameona wananchi wana njaa sana ya misosi na kupenda kucheza magemu kwenye playstations basi ni vema waongee hivyohivyo.
 
Back
Top Bottom