GE2025 Mgombea udiwani Ilomba: Dkt. Tulia ni bidhaa adimu duniani Mungu ametusaidia

GE2025 Mgombea udiwani Ilomba: Dkt. Tulia ni bidhaa adimu duniani Mungu ametusaidia

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
Mgombea wa Nafasi ya Udiwani Kata ya Ilomba Kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Noah Mwakisu awasisitiza wakazi wa Jimbo la Uyole kumuunga Mkono na Kumpa kura za heshima Dkt. Tulia kwani ni bidhaa adimu.

Akizungumza Katika Mkutano wa Kampeni za Mgombea Ubunge wa Jimbo la Uyole Dkt. Tulia Ackson Kata ya Ilomba amesema "Lazima Wananchi tujue kuwa tunabidhaa adimu ambayo Watu Wengi Wanaitamani na Tunashukuru Kwa Maendeleo aliyotuletea wakazi wa Ilomba Katika sekta Zote Elimu, Afya, Miundombinu ya Barabara na nk.

Katika Hatua Nyingine Mwakisu amewataka Wananchi wa Kata hiyo kukipa Heshima Chama Cha Mapinduzi Kwa Kumchagua Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kupitia CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan, Wabunge na Madiwani wa CCM ifikapo 29 Oktoba 2025.


 
Back
Top Bottom