TANZIA Mgombea Udiwani Kata ya Kayanga jimbo la Karagwe afariki ghafla akienda kuchukua fomu

TANZIA Mgombea Udiwani Kata ya Kayanga jimbo la Karagwe afariki ghafla akienda kuchukua fomu

AKASINOZO

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2016
Posts
1,367
Reaction score
2,219
Ndugu Theofily Kweyamba maarufu kama Lowassa mgombea wa udiwani CCM kata ya Kayanga wilaya ya Karagwe amefariki ghafla wakati akienda kuchukua fomu ya kuomba kuteuliwa nafasi ya udiwani.

Mpaka sasa haijafamika chanzo cha kifo chake

Kweyamba.jpg

Poleni wafiwa wote
 
Hivi yule wa sifa ndio kafa unaweza kusema?

Mungu tunaomba utusikie.
 
Uo umri vip? Alishindwa kufanya kazi kwenye ujana na utu uzima wake anakuja kufanya kazi uzeeni...

R.I.P babu.

Kwa kuona mvi tu unahisi ni mzee,, ? Hata angekuwa babu ana haki bado ya kufanya kaxi
 
Back
Top Bottom