TANZIA Mgombea Udiwani Kata ya Kayanga jimbo la Karagwe afariki ghafla akienda kuchukua fomu

TANZIA Mgombea Udiwani Kata ya Kayanga jimbo la Karagwe afariki ghafla akienda kuchukua fomu

Stress za kukesha kwa waganga Gwajima afanye mambo yake tuone
 
Katiba inasemaje mgombea anapofariki kabla ya uchaguzi.

Wataalam wa sheria lete mwongozo
 
Uchaguzi huu kama uko vibaya sayansi ya kiuajemi na kidunia unaweza kupigwa chini sekunde tu
 
Hivi umri wa mwisho kugombea ni miaka mingapi au hakuna kikomo?!
 
.
IMG-20191216-WA0001.jpg
 
Mimi ni wa mwisho kuamini kama MaCCM yanakufaga.
Mateso na dhuruma wanayo tupatia CHADEMA, ni kama vile wao wataishi milele.
 
Ndugu Theofily Kweyamba maarufu kama Lowassa mgombea wa udiwani CCM kata ya Kayanga wilaya ya Karagwe amefariki ghafla wakati akienda kuchukua fomu ya kuomba kuteuliwa nafasi ya udiwani.

Mpaka sasa haijafamika chanzo cha kifo chake

Poleni wafiwa wote
Kama ni wa CCM ... tu Ila sifa ya mtu kufa
 
Alikua kazeeka sana,,tatizo itakua umri mkubwa na presha za kuchukua fomu,Rip
 
Ndugu Theofily Kweyamba maarufu kama Lowassa mgombea wa udiwani CCM kata ya Kayanga wilaya ya Karagwe amefariki ghafla wakati akienda kuchukua fomu ya kuomba kuteuliwa nafasi ya udiwani.

Mpaka sasa haijafamika chanzo cha kifo chake

Poleni wafiwa wote
Mungu hadhihakiwi, anajibu kwa moto!
 
Wanadamu hapa tunapita muda ukifa safari inakuhusu tu, angefarki wa upande wa pili maneno yangukua mengi sana poleni wana family.
 
Tunasubiria habari njema za kifo cha kiongozi wa malaika tuu sasa uonevu baathii
 
Back
Top Bottom