Life starts at 40😊Uo umri vip? Alishindwa kufanya kazi kwenye ujana na utu uzima wake anakuja kufanya kazi uzeeni...
R.I.P babu.
Rip aka Lowassa!Ndugu Theofily Kweyamba maarufu kama Lowassa mgombea wa udiwani CCM kata ya Kayanga wilaya ya Karagwe amefariki ghafla wakati akienda kuchukua fomu ya kuomba kuteuliwa nafasi ya udiwani.
Mpaka sasa haijafamika chanzo cha kifo chake
Poleni wafiwa wote
Mbona siyo mzee kivile? Yaani at 50s unataka akae home tu?Uo umri vip? Alishindwa kufanya kazi kwenye ujana na utu uzima wake anakuja kufanya kazi uzeeni...
R.I.P babu.
Amepambania nini sasaRiP mpambanaji
Hivi yule wa sifa ndio kafa unaweza kusema?Ndugu Theofily Kweyamba maarufu kama Lowassa mgombea wa udiwani CCM kata ya Kayanga wilaya ya Karagwe amefariki ghafla wakati akienda kuchukua fomu ya kuomba kuteuliwa nafasi ya udiwani.
Mpaka sasa haijafamika chanzo cha kifo chake
Poleni wafiwa wote
UongoziAmepambania nini sasa
Uo umri vip? Alishindwa kufanya kazi kwenye ujana na utu uzima wake anakuja kufanya kazi uzeeni...
R.I.P babu.
Absolutely!!!!Life starts at 40😊
Kaxi ni nini?Kwa kuona mvi tu unahisi ni mzee,, ? Hata angekuwa babu ana haki bado ya kufanya kaxi